Wednesday, February 26, 2020

UNAPOKOSA ULICHO KITEGEMEA KWA MTU MWENYE MIPANGO, INAKUWA “TOO LATE” KURUDI NYUMA KUANZA KUJIANDAA.

1. Kuna vijana walipuuzia masomo wakitegemea watarithi mali za wazazi wao, walipokuja kugundua haiwezekani tena wengi wamechanganyiki
wa.

2. Kunawengine walitegemea wazazi wao ni watu wakubwa kwahiyo mambo yao yatakuwa sawa tu mpaka wanakufa.

3. Kuna wengine walitegemea kwamba kwasababu mume wake au mke wake ana kisomo au uwezo hakujibiidisha akitegemea kula matunda ya mwenzi wake, walipo korofishana wengi walibaki wakiaibika.

Waswahili Husema:
Mtegemea cha ndugu hufa masikini.

Mch. Peter Mitimingi

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed