Monday, February 24, 2020

MAFUNZO YA KUTENGENEZA NA KUPAMBA KEKI KITAALAMU

HABARI NJEMA KWA WANAOTAFUTA KUJIFUNZA KUTENGENEZA KEKI ZA HARUSI NA SHEREHE MBALIMBALI.

Shirika la Straight Forward Foundation (SFF) litaendesha mafunzo ya siku 4 ya utengenezaji na upambaji kei kitaalamu kuanzia tarehe 21-24 mwezi April mwaka huu 2020, eneo la Gongo la Mboto, Dar es salaam . Utafundishwa hatua zote za utengenezaji wa keki na upambaji wa keki na mbinu za mauzo na kufanya biashara ya keki kisasa. Baada ya mafunzo haya utakuwa umeiva kabisa na utaweza kuanza biashara bila wasiwasi wowote. 
Kwa wanaohitaji mafunzo haya weka jina lako na namba ya simu kwenye comment hapo chini ukianzia na maneno MAFUNZOKEKI au tuma maelezo hayo kwa SMS kwenda namba 0693466821 au email yetu ya shirika; straightforwardf@gmail.com kabla ya Aprili 1 2020. 
Gharama ya mafunzo ni shilingi 40,000 kwa siku zote nne ikijumuishwa na huduma ya chakula. Mahali pa kufanyia mafunzo husika patatangazwa mwezi wa nne tarehe 1. Wanaotoka mbali hasa mikoani watatafutiwa malazi kwa gharama nafuu. 
WOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed