Tuesday, February 25, 2020

KUANGUKA SIYO KUFA!....


Pastor Suzanne BG Malisa

Huenda jana haikuwa siku nzuri kwako...huenda hukupata ulichokitarajia...Huenda ulikuwa na maumivu jana...Ninapenda kukutia moyo siku ya leo kuwa UNAWEZA...Inuka tena ukatimize kusudi lako leo...Jitie nguvu na usonge mbele.
Mungu yuko na wewe na atakusaidia leo.
▪Isaya 43:18-19

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed