Tuesday, February 25, 2020

BINTI ULIYE OKOKA USIJE KULOGWA KUJA KUOLEWA NA MTU AMBAYE AJAOKOKA.

Kuchelewa kuolewa isiwe sababu yakuolewa na mtu ambaye sio sahihi kwako utaumia ndoa ni tasisi kubwa sana ambayo unapewa cheti kabla ujaanza masomo●nimeona wengi sana mabinti ambao walikimbilia ndoa wakaona bora waolewe na watu ambao awajaokoka kwasababu walichelewa kuolewa Leo hii wanalia wanajuta kwann walifanya maamuzi ambayo sio sahihi kwao biblia imesema watu wawili watatembeaje pamoja wasipo patana ♡ukikubali kuolewa na mlevi huku wewe umeokoka lazima nawewe utakuwa mlevi 😂ukiolewa na mzinzi huku nawewe umeokoka lazima nawewe utakuwa mzinzi 😏japo kuna vibinti vinajifanya masikio yao ya mbuzi avielewi somo wala mfano ndomana vikiolewa vinachakaa utafikiri vibeba zege kwasababu biblia inasema aonywaye mara nyingi akishupaza shigo yake atavunjika 😂ndoa sio kulalana tu ndoa sio kuambiana mpenzi ilove you,ndoa sio kuambiana nikinywa maji nakuona kwenye glasi,ndoa ibada takatifu mbele za Mungu maana yake inaitaji maombi *inaitaji uwepo wa Mungu utawale katikati yenu siku zote zamaisha yenu.

Wewe binti acha kujirahisisha kama karanga za kariakooo,mtu anaye kupenda hawezi kukuambia aonje kwanza ndipo akuoe umekuwa supu ya pweza wewe mpaka uonjwe 😏mwanaume anaye kupenda atafata taraatibu zakanisa,taraatibu zawazazi tena ngoja nikuambie kuna baraka kubwa sana kuolewa kwa eshima zawazazi na kanisa sasa wewe unavutwa tu utafikiri sigara 😂ondoa upumbavu wako kichwan mwako wewe ulilweta dunian kwamakusudi ya Mungu nani aliye kuambia usipo olewa auendi mbinguni? Nan aliye kuambia usipo olewa aujibiwi maombi yako ndoa niyaziada biblia imesema utafuten kwanza ufalme wake na haki yake yote na mengine hayo yote mtazidishiwa Mathayo 6:33.

Mwanaume ambaye ajaokoka hawezi kukuoa ataishia kukutafuna kama karanga😁mwanaume ambaye ajaokoka hana hofu ya Mungu ukikosea kidogo utakuwa unakula makofi kama mbwa koko 😂mwanaume ambaye ajaokoka hawezi kuacha kutoka nje ya ndoa maana hakuna kitu kinacho mzuia kufanya mambo yake 🕵mwanaume ambaye ajaokoka ni muongo na ndoa inaitaji ukweli na uwazi sasa wewe jifariji nitambadirisha utafikiri wewe Mungu😂.

Ndoa yako ipo tu ila nilazima ujitambue ukiendelea kuvaa viguo vyako vya aibu wataendelea kukuonja tu lakini ndoa utasikia kwa mabinti walio simama na Mungu,eshimu mwili wako maana ni hekalu la Roho Mtakatifu,acha kuonesha maungo yako peupe ndomana unatogozwa na watu ambao awajaokoka maana wanajua wewe ni mwenzao tu na ukiona binti uliye okoka unatongozwa na wanaume wanao vaa visuluali vilivyo chanika chanika vinywele vyao utafikiri tuchetani tudogo ndo ujue kabsa wewe umekufa kiroho unasubiri tu kuzikwa 😊.

Mwisho binti tunza usichana wako kwa Yesu mama zetu hapo zaman walitunza usichana wao waliwaeshimu wazazi wao walienda kwa waume zao na bikira zao lakini kizazi hiki yelewiiiiiiiiii kuikuta bikira kwa binti mshukuru sana Mungu sijasema awapo wapo sana ila wengi nimapango ya nyoka ni aibu kubwa sana binti umeokoka bikira yako anakula mpagan ambaye ajaokoka baada ya mme wako 😂jionee hata huruma siku ukiolewa upo hanmony shagazi anakuja kutoa shuka anakuta shuka jeupe peeeeeeeeeee ni aibu 😂ni heri wakasema umechelewa kuolewa ila umeolewa kwa eshima.


by Mwinjilisti Mwasongwe

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed