Saturday, November 23, 2019

CHANGIA STRAIGHT FORWARD FOUNDATION KUPITIA MASTERPASS

1.Piga *150*60# kupata orodha ya Airtel Money
2.Chagua 5 “Lipia Bili”
3. Chagua 1 - Lipia Bidhaa
4.Chagua 1 “Lipa kwa Mastercard QR”
5. Ingiza kiasi cha pesa ili kuchangia
6.Ingiza namba ya kumbukumbu 60423985 (Jina litatokea Straight Forward Fou)
7. Ingiza neno la SIRI la Airtel Money
8. Utapokea ujumbe wa Uthibitisho

ASANTE KWA KUCHANGIA STRAIGHT FORWARD FOUNDATION. UNAPOCHANGIA, UNAHUDUMIA JAMII.

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed