Saturday, November 23, 2019


CHANGIA STRAIGHT FORWARD FOUNDATION KUPITIA MASTERPASS


Jinsi ya kuchangia STRAIGHT FORWARD FOUNDATION kupitia TigoPesa

1.Piga *150*01# kupata orodha ya TigoPesa
2.Chagua 5 “Lipa Bidhaa”
3. Chagua 2 “Lipa kwa Mastercard QR”
4.Ingiza namba 60423985
5. Ingiza kiasi cha pesa ili kuchangia (Jina litatokea Straight Forward Fou)
7. Ingiza neno la SIRI la TigoPesa
8. Utapokea ujumbe wa Uthibitisho

ASANTE KWA KUCHANGIA STRAIGHT FORWARD FOUNDATION. UNAPOCHANGIA, UNAHUDUMIA JAMII.


Wasiliana na Straight Forward Foundation kwa email; straightforwardf@gmail.com

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed