Thursday, March 14, 2019

MADHARA YA BINTI AU KIJANA KUOJESHA AU KUONJA KABLA YA NDOA


πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰

☘Unapataje ujasiri wakumvulia na kumpa MTU ambaye siyo mume wala mke wako kuuchezea mwili wako.πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ™†πŸ™†πŸ™†

Swali la msingi kujiuliza tendo hili nikifanyalo ni dhambi au siyo dhambi⁉

Pili jiulize nini matokeo ya tendo hilo mbele za Mungu na jamii.⁉

✍ yapo madhara mengi sana sana.

1. Unafutwa kwenye ufalme wa Mungu.

Wagalatia 5:19-22

2. Unafungua mlango wa mapepo kwako.

3. Unakiingiza kikazi chako katika utumwa na vifungo. Maombolezo 5:7

4. Unaondoa ujasiri na

5. kukuletea aibu na

6. Huleta fedheha, Mithali6:32_33

7. Hujeruhi nafsi. 
8. Kuondoa heshima

9. Huambukiza mgonjwa ya zinaa

Kumbuka: Afanyaye zinaa hana akili kabisa.

Mithali 6:32, Kwa uzoefu wangu:

Asilimia 98% hadi99%

Mabinti wengi wote walionjesha ili waolewe waliambulia kuachwa mpaka.

πŸ€”πŸ€” Binti utaonjesha wangapi? Wewe umekuwa karanga au mchuzi ⁉

Mbaya zaidi kila uliyemuonjesha au kumuonja mbingu zimerecod kama mke au mume wako. Na huu ndiyo mwanzo wa majini mahaba( spiritual husbands)

⁉Hebu jiulize mpaka sasa una wake au waume wangapi⁉

Kujiponya na roho na kifungo hicho tengeneza haraka na Bwana Yesu kwa usalama wako.

By pastor Songwa Kazi

Ili kuwa wa kwanza kupata habari njema za Gospel Tafadhali like page zetu za TANZANIA GOSPEL NETWORK Katika mitandao ya kijamii ya Facebook ,  Twitter na Instagram @tanzaniagospel. Pia usiache kusubscribe katika channel yetu ya YouTube iitwayo "Tanzania Gospel Network" ili upate video za Injili kila zinapotoka. Ubarikiwe sana.
Hashtag
#tanzaniagospel

Email
mkahaya@gmail.com

Mobile
+255717250805

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed