Tuesday, August 14, 2018

SOMO MUHIMU KWA WACHUMBA: UJARIBIWAPO USITENDE DHAMBI

  Kuna msemo unasema;

✍🏻Mtoa na mpokea rushwa wote wanapaswa kushitakiwa.🙆‍♂🙆‍♂

✍🏻Kujaribiwa siyo dhambi ila kukubali kujaribika ndiyo dhambi.

✍🏻Tazama MATHAYO 4:1-8

Matthew 4:1-8,10-11

[1]Then was Jesus led up of the Spirit into the wilderness to be tempted of the devil.
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.

[2]And when he had fasted forty days and forty nights, he was afterward an hungred.
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.

[3]And when the tempter came to him, he said, If thou be the Son of God, command that these stones be made bread.
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.

[4]But he answered and said, It is written, Man shall not live by bread alone, but by every word that proceedeth out of the mouth of God.
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.

[5]Then the devil taketh him up into the holy city, and setteth him on a pinnacle of the temple,
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu,

[6]And saith unto him, If thou be the Son of God, cast thyself down: for it is written, He shall give his angels charge concerning thee: and in their hands they shall bear thee up, lest at any time thou dash thy foot against a stone.

akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

[7]Jesus said unto him, It is written again, Thou shalt not tempt the Lord thy God.
Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.

[8]Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them;
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,

[9]Then saith Jesus unto him, Get thee hence, Satan: for it is written, Thou shalt worship the Lord thy God, and him only shalt thou serve.
Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

[10]Then the devil leaveth him, and, behold, angels came and ministered unto him.
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.

✍🏻Kuomba ni kuonjeshwa ni kosa pia na kumwonjesha nalo ni kosa kubwa sana.

🔆wote wawili wana makosa na wanasitahili adhabu Kali sana.

👆👆ni kosa baya sana kufanya ngono kabla ya ndoa. Hii ni laana kabisa mbele za Mungu.

🤔 Nakama IPO humu ndani unaendelea na tabia ya kuonjaonja na kuonjesha  na pengine umajaribu kuacha umeshindwa tuwasiliane haraka tuone unataokaje hapo. Maana hiyo ni dalili mbaya ya Siku za usoni.

✳Nihutimishe kwa kusema , Mungu hadhihakiwi chochote apandacho MTU atavuna siku moja.

✳Wewe ambaye hutaacha tabia hiyo mbaya ya kuonjana ; ukimwi, magonjwa ya zinaa, mimba na kifo hakiko mbali na wewe.

Ila ukitubu kwakumaanisha kuacha NEEMA ya Mungu itakuwa nawe, Amen.

Mbarikiwe sana kwa michango na maoni  yote.

💎BY PASTOR SONGWA KAZI.

Ili kuwa wa kwanza kupata habari njema za Gospel Tafadhali like page zetu za TANZANIA GOSPEL NETWORK Katika mitandao ya kijamii ya FacebookTwitter na Instagram @tanzaniagospel

Hashtag
#tanzaniagospel

Email
mkahaya@gmail.com

Mobile
+255717250805

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed