Saturday, August 18, 2018

NDOTO HATARI AMBAZO UKIOTA UNAPASWA UINGIE MAOMBI YA VITA MAANA ZINAKUWA HATARI KWA MAISHA YAKO


1.ukiota umepoteza fedha,ni isharaya shambulio la uchumi

2.ukiota unashambuliwa na paka niishara ya roho za kichawi

3:ukiota umeumwa na mbwa;niishara roho za uzinzi na uasherati zinakuandama

4:ukiota umevamiwa na kuibiwa; inamaana Adui amepanga kukupa roho za umaskini na ufukala

5:ukiota umepoteza Pete ya ndowa au gauni la harusi; Maana take kunamashambulizi ndowa yako au mausiano yako.

6:ukiota uko uchi ndotoni;niishara ya kuaibishwa na kufedheheshwa

7:ukiota umevaa nguo zimechanika; maana yako roho ya umaskini

8:kuota unanyonyesha mtoto ndoton:ni ishara maadui wananifaika nawewe bila Wewe kujua,pia dalili ya jini mahaba

9:Ukiota unakula vyakula ndotoni:niishara umeunganishwa na mtandao wa kichawi pia unakula magonjwa laana na umasikin

Usipuuze kunawatu mnapitia kwenye mambo magumu lakini chanzo yalianzia kwenye ndoto na shetani hushambulia watu wengi kupitia ndoto Usiku wa Leo kataa ndoto mbaya zote zinazo kuandama kwa jina la Yesu Kristo. Ubarikiwe na BwanaYesu

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed