Thursday, August 23, 2018

CHANGIZO LA KIPINDI CHA MATENGENEZO NA UREJESHO KATIKA MAHUSIANO BY PASTOR SONGWA KAZI

                 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shalom Shalom mwana Wa Mungu.

🔆Kipekee sana namashukuruu sana Mungu kwa neema na fadhili zake kwangu.

🔆Leo nimefikiwa na habari za FURAHA kutoka kwa mmoja wa wanafamilia kuwa kipo kituo cha REDIO na TV cha SIBUKA kinachorusha mafundisho kwa jamii yetu.

🔆Nikapata fursa ya kuongea na wahusika ili kuona kama Naweza kupata jipindi cha kuendesha MASOMO YA MAHUSIANO katika studio za SIBUKA kwa NEEMA ya Mungu mhusika akasema ina wezekana Kwani hakuna Kipindi kama hicho.

🔆MIMI NIPO TAYARI NA MASOMO YAPO FULL .

🔆GHARAMA KWA KIPINDI CHA NUSU SAA 125,000/-

KWA MWEZI
125,000× 4
=500,000/-

✳OMBI LANGU KWAKO.

🔆 Kama jambo hili litapata kibali kwako, kwa kadri ya kubarikiwa kwako sapoti Kipindi hiki tuwafikie watanzania wengi kwa wakati mmoja walionachangamoto za kimahusiano na ndoa .

🔆Kwa kusapoti kwako ninahakika Mungu hatakuacha katika Yale unayomlilia usiku na mchana.

🔆MUDA WA KUANZA KIPINDI.

✍🏻Muda wowote kuanzia sasa kama tu tutalipa Kiwango hata cha Kipindi kimoja .

✳Na Kipindi hiki kitakuwa kila SIKU ya Jumamosi saa 11 JIONI.

✍🏻JINA LA KIPINDI:

🔥Kipindi cha MATENGENEZO NA UREJESHO KATIKA MAHUSIANO.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Na; PASTOR SONGWA KAZI.
( TAG GGCC FOREST KONGOWE)
0757-567 899
0719-968 160

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed