Monday, August 10, 2015

SECRETARY ANAHITAJIKA HARAKASECRETARY POSITION DESCRIPTION:

Anahitajika secretary kwa ajili ya kufanya kazi ya stationery.

-Awe na uwezo wa kutumia microsoft excel,word.publisher etc

-Awe na uwezo wa kuscan, kuprint, kutumia photocopy machine

-Atauza vocha/ muda wa maongezi

-Maeneo ya kazi itakuwa ni Tabata Kimanga, Dar es salaam


APPLICATION INSTRUCTIONS:


Kwa mwenye vigezo atume maombi kwa njia ya barua pepe (mkahaya@yahoo.co.uk) au apige simu (0717250805)

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI SIKU YA TAREHE 5/8/2015

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed