Wednesday, August 05, 2015

MWANA WA MTOTO WA MFALME WA KUWAIT AOKOKA


Mwana wa mtoto wa Mfalme wa Kuwait ameacha Uislamu na kuwa Mkristo. Tukimnukuu alivyosema ni kwamba ” Wakitaka kuniuwa , waniuwe ila najuwa nitakuwa karibu na Yesu wakati nitakapokufa. Biblia inaniambia mambo mengi sana na nina uhakika kwamba Mungu atakuwa pamoja nami sana. Wakiniuwa leo kesho nitakuwa tokelezea mbele ya Yesu.

Watu wa Kuwait wana asilimia 96% ya dini ya kislamu na dini ihi inatawala sana mpaka pale unapokuta kwamba sheria inayotumika hapa kowait ni Sharia ile ya Waislamu. Jiwaze mtoto wa mfalme kutamka maneno haya ujuwe kwamba ameona umuhimu wa kuwa na Yesu maishani Mwake.

Mungu azidi kumsaidia na kumlinda ili wengine wamfuate kwa Jina la Yesu.

Umoja Radio

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed