Wednesday, May 13, 2015

SEMINA YA NENO LA MUNGU WITH PASTOR ATHANAS KAMILI

Semina semina! Ni semina ya neno la Mungu inayoendelea katika kanisa la EAGT tabata kimanga! Semina hii inahudumiwa na Mtumishi wa Mungu toka jiji La mbeya Mchungaji ATHANAS KAMILI. Akishirikiana na Mchungaji na mwenyeji JOSEPH MAREGO. Muda wa semina kuanza ni saa 9:30. Kwaya na waimbaji binafsi wataimba bila kusahauAmani Daniel Tina Mwita Marego nao watakuwepo... Nyote mnakaribishwa. Kwa mawasiliano zaid piga cm. No! 0768321336

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed