Saturday, September 20, 2014

MSAPOTI SAVIANA KWA KUDOWNLOAD WIMBO WAKE WA EE MUNGU UNISAMEHE

Habari mdau wa muziki wa Injili,
Tunafurahi kumtambulisha kwenu Saviana Daffi ambaye ni mwimbaji wa Gospel nchini Tanzania. Saviana tayari ametoa album yenye nyimbo 7 za kumtukuza Mungu. Tushirikiane Kusapoti muziki muziki wake.

2 comments:

  1. Bwana Asifiwe sana wapendwa. nimeusikiliza ni wimbo mzuri sana. Nimeingia mkito nimekuta nyimbo nyingine kama Usiniache,Wewe ni mungu na unaweza.

    Dah! they are great spiritual songs

    ReplyDelete

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed