Monday, November 04, 2013

MKUTANO MKUBWA WA INJILI


KUTAKUWA NA MKUTANO MKUBWA WA INJILI KANISANI TABATA KIMANGA EAGT, DAR ES SALAAM JUMANNE TAREHE 5/11/2013 HADI JUMAPILI TAREHE 11/11/2013. BWANA YESU HAKIKA YU HAI. NJOO UKUTANE NA BWANA.
No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed