Monday, November 04, 2013

AJALI YA BASI LA SHULE YA WATOTO

"Nimekutana na ajali hii maenio ya Kibamba Fuso imeigonga basi ya shule ikiwa na watoto wa shule na ikarushwa kutoka barabarani na kuangukia korongoni chini ya daraja kubwa la kibamba. Dereva na baadhi ya watoto wameumia, ila ashukuruwe Mungu hakuna aliyepoteza maisha" Pastor Peter Mitimingi

TAZAMA PICHA KWA HABARI ZAIDI

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed