Saturday, November 23, 2013

FAHAMU JINSI INAVYOPASA KUJILINDA KATIKA MAISHA YA WOKOVU

Ebr. 2:3

KUJALI-Ni kuchukua tahadhari,tia maanani, sikiliza,heshimu.
MAENEO HATARI KWA MAISHA YAKO KUYADHIBITI:

1.Moyo:

Moyo ni eneo muhimu sana katika maisha yako;inakupasa uwe mwangalifu. Asili ya moyo ni kwamba ni mdanganyifu. Moyo una siri kubwa sana unalinganishwa na nyumba. (Yeremia 17:9-10, Luka 21:34-36)

Uuulinde sana (Mith 4:23)hili ni eneo la tahadhari

2.Kinywa na ulimi:

Hii pia ni sehemu muhimu sana ambayo inapaswa kudhibitiwa kwa umakini sana.

Daudi-aliomba awekewe ulinzi kinywani pake.(Zab 141:3-4)
Isaya- alitambua yeye yupo katikati ya watu wenye kusemasema ovyo.(Isaya 6:5-7)
Sulemani -alitambua juu ya kukilinda kinywa (Mith 13: 1-3)
Yakobo -alitambua kutofugika ulimi (Yak 3:8-12 )


UWE NA SIFA HIZI: (Zab 71:8, 15, 23-24)

3.Macho:

Macho yako yasiwe na makengeza ya kiroho. (Mith 4:25-27)

Macho ni kiungo cha hatari chenye tabia ya wizi

Yakobo 4:7-10- Mtii MUNGU 100%


Imetayarishwa na: Rev. Joseph Marego

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed