Friday, November 29, 2013

FLORA MBASHA AKIWA KATIKA HUDUMA TANGA | FLORA MBASHA MINISTERING IN TANGA

Flora Mbasha akiwa na timu yake wakihudumu mnamo katika mkutano wa injili ulioanza tarehe 24 Novemba 2013 pale Tanga katika katika viwanja vya Tangamano ambapo Mch Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima alikuwa ni mhubiri. Mkutano huo utaisha tarehe 1 Disemba.

Flora Mbasha along with her team ministering in the Gospel Crusade in Tanga (Northern Tanzania) that started on 24th of November 2013 and ends on 1st of December on Tangamano grounds. The preacher is Pastor Josephat Gwajima of Glory of Christ Tanzania Church.


No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed