Wednesday, September 12, 2012

TANZANIA GOSPEL (TG) BLOG INALAANI VIKALI MAUAJI YA DAUDI MWANGOSI

TG inaungana na watanzania wote kulaani vikali mauaji ya kikatili na kinyama ya mwanatasnia wa habari Daudi Mwangosi. Mwenyezi Mungu awape faraja familia ya marehemu na wafiwa wote. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. Amen.

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed