Tuesday, September 11, 2012

CHEREKO! CHEREKO

Bwana Ebanh na mkewe Linda (katikati) wakiwa kanisani Kimanga EAGT siku ya ndoa yao jumamosi tarehe 8 Septemba mwaka huu 2012.
Kwaya ya Jehova Singers ya Kimanga EAGT ikiimba siku ya tukio


Ebanh na mpambe wake wakitoka nje ya kanisa

No comments:

Post a Comment

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed