Thursday, July 12, 2012

THE HISTORY OF BISHOP KULOLA | HISTORIA YA ASKOFU KULOLA


MOSES KULOLA TELLS HIS STORY
Moses Kulola, born in June 1928, in a family of ten children and five are still alive, registered for my first school in 1939 called Ligsha Sukuma a mission school and after Ligsha, I enrolled for the institute of Archtchture in 1949. I was baptised in 1950 in the AIM Church Makongoro.

Married to Elizabeth with 10 offsprings where seven are still alive.Begun missionary work in 1950 eventhough i was called upon in 1949 just after my baptism.

In 1959 i was enrolled on government work which i did to preach the gospel in towns and villages being a government employee. My great service to my country came to an end in 1962, where i compeletely dedicated my power, body and soul. In 1964 i enrolled in the theological college and 1966 i qualified with a diploma.

I didnt just stop there with education as i continued with correspondenced studies which accredited to my so many certificates accross the world.

ServiceI worked for two years as Pastor before becoming a Pentacostal believer that is 1961 to 1962, worked in TACR church 1966 till 1991 where i begun decided to started the Evangelistic assemblies of God.EAGT has succeded to growth at a great pace in Tanzania, Zambia, Malawi and tantamounting to a total of not less than 4000 churches in a range of big and small and I Moses Kulola being the bishop of the four thousand churches, Assistant Bishop Mwaisabila.

Running four thousand churches has never been a simple that is why the division has been done of about 34 provinces of operation and five zones for simplifying work and every county and Zone has its own Overseer.


Moses Kulola asimulia historia yake

Moses Kulola, alizaliwa mwezi Juni 1928, katika familia ya watoto kumi, na watano kati yao bado ni hai. nilisajiliwa katika shule yangu ya kwanza mwaka 1939 iitwayo Ligsha Sukuma shule ya misheni baada ya Ligsha, nilijiunga na taasisi ya usanifu mwaka 1949. Nilibatizwa mwaka 1950 katika Kanisa la AIC Makongoro.

Nilimwoa Elizabeth na nina watoto10 ambapo saba bado hai.Nilianza kazi za kimisionari mwaka1950 japokuwa niliitwa mwaka 1949 mara tu baada ya kubatizwa.

Mwaka 1959 nilianza kufanya kazi serikalini, wakati huo huo nikihubiri Injili katika miji na vijiji. Utumishi wangu mkubwa kwa nchi ulifika mwisho mwaka 1962, ambapo niliamua kujitolea moja kwa moja nguvu zangu, mwili na nafsi. Mwaka 1964 nilijiunga na chuo cha kiteolojia na 1966 nilitunukiwa stashahada.

Sikuacha elimu pale tu, nilijiendelea na masomo mbalimbali ambapo nilitunukiwa vyeti mbalimbali katika mataifa mbalimbali.

Nilihudumu kikazi kwa miaka miwili kama Mchungaji kabla ya kuwa mpentekoste mnamo 1961-1962, nilifanya kazi katika kanisa la TAG 1966 mpaka 1991 ambapo nikaamua kuanzishaa makanisa Evangelistic Assemblies God (EAGT), ambapo yalifanikiwa kukua kwa kasi kubwa katika nchi za Tanzania, Zambia , Malawi na kwa ujumla tuna makanisa yapatayo 4000 katika jinsi mbalimbali yakiwemo makubwa na madogo

Askofu Moses Kulola anayeongoza makanisa elfu nne, Askofu Msaidizi wake ni Mwaisabila.

Mchakato wa kuongoza makanisa elfu nne si rahisi na kwamba kumefanyika mgawanyiko wa majimbo yasiyopungua 34 ya kazi na kanda tano kwa ajili ya kurahisisha kazi na kila kanda na jimbo lina mwangalizi wake.
 
 
 
 
 
 
(maelezo na picha http://sayuni.blogspot.com , imetafsiriwa na tanzaniagospel.blogspot.com) 

3 comments:

  1. alikuwa ni mtumishi niliyempenda sana na aribariki moyo wangu MUNGU AMTUNZE MAHALI PEMA MTUMISHI WAKE

    ReplyDelete
  2. The founder and Archibishop of EAGT in Tanzania was a real spiritual and flesh father devoted his life to proclaim the 'WORD OF GOD' with positive impact to both salvation & redemption believers and non-believers. His dynamic evangelistic speeches for more than four decades were a healing comfort to the satanic inflicted victims including myself. May the Almighty God crown the servant for his sanctuary race accomplishment

    ReplyDelete
  3. The founder and Archibishop of EAGT in Tanzania was a real spiritual and flesh father devoted his life to proclaim the 'WORD OF GOD' with positive impact to both salvation & redemption believers and non-believers. His dynamic evangelistic speeches for more than four decades were a healing comfort to the satanic inflicted victims including myself. May the Almighty God crown the servant for his sanctuary race accomplishment

    ReplyDelete

karibu kutoa maoni | your comments are welcomed